SIMBA MGUU SAWA ROCKY CITY

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Simba wapo jijini Mwanza kujiandaa na mechi yao na wenyeji Toto African ya huko itakayopigwa kesho katika dimba la CCM Kirumba, jijini Mwanza.
KOcha MKuu wa Simba Mganda  Moses Basena amesema amekjifanyia marekebisho kikosi chake ili kuhakikisha kinapata ushindi mnono katika mechi hiyo.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 21, 2011 at 10:08 PM

    TUMEYAONA MAREKEBISHO ALIYOYAFANYA BWANA BESENA,TOTO LETU OYEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Post a Comment