SIMBA MATAWI YA JUU VPL

Bao pekee la Gervais Kago Uwanja wa Azam, Chamazi mbele ya mashabiki 5000 na ushehe leo limeipa Simba ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi na sasa ina pointi 13 kileleni, tatu zaidi ya JKT Ruvu wanaoshika nafas ya pili wakiwa na pointi 10.

Comments

  1. YANGA BOMBA - UHURU BRANCHSeptember 15, 2011 at 3:17 AM

    EEH!NAONA MNATAKA KURUDIA ILE REKODI YENU YA KUTENGENEZA MWAKA JUZI MLIPOMALIZA BILA KUFUNGWA HALAFU MLIPOENDA KWENYE CHAMPION LEAGUE MKATUTIA AIBU YA MWAKA KWA KUPIGWA HAMSA NA HARRASS AL HODOOD YA EGYPT..KABLA YA KWENDA KUTUTIA AIBU KWENYE KAGAME KIGALI KWA KUTOLEWA KWENYE HATUA YA AWALI

    ReplyDelete

Post a Comment