SIMBA, AZAM ZALAZIMISHA SARE TASA

VINARA wa ligi kuu bara Simba Sc leo wameshindwa kuyendeleza ushindi wao  katika ligi kuu  soka Tanzania bara baada ya kutoka suluhu ya 0-0 na Azam Fc, mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 11, 2011 at 10:12 PM

    BORA WANYAMA NAO WAMEVUTWA MKIA KIDOGO MAANA ADEN HAPO KAMA NAMUONA NA JAMAA ZANGU WA MPIRA PESA NA RADIO YAO PALE KARIAKOO OPPOSITE NA CLUB YA WANYAMA JINSI WALIVYOKUA NA RAHA KIPINDI HIKI

    ReplyDelete

Post a Comment