SERIKALI YAZIRUHUSU TAIFA SIMBA, YANGA


SERIKALI imekubali kwa masharti matumizi ya uwanja wa Taifa kwa mechi za ligi kuu na hasa zile zinazozihusu timu za Simba na Yanga.

Ofisa habari wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Boniface Wambura, alisema baada ya kuandika maombi ya kutaka kuutumia uwanja huo walikubaliwa kwa masharti maalum.
Mechi zitakazochezwa uwanjani hapo ni ile kati ya  Ruvu v Yanga,Azam v Simba,Simba v Polisi Dodoma,African Lyon  v Yanga,Simba v Coastal Union,Yanga v Kagera,Ruvu  v Simba,Yanga  v Oljoro JKT.

Comments