SAGNA ARUDI KWENYE SAJNA

MSANII wa muziki wa Bongo fleva SAJNA ambaye siku za hivi karibuni alibadili jina la kujiita SAJNA ameamua kulirudia jina lake la zamani lililomtambulisha kwenye medani hiyo SAJNA.
Meneja wa msanii huyo ambaye p;ia ni Mkurugenzi wa Tetemesha Records & Entertaint KID BWOY amesema kutokana na ushauri walioupata toka kwa wadau mbalimbali wameona warudie kumuita jina la SAJNA badala ya SAGNA.

Comments