RESTAURANT NZURI INAPANGISHWA SINZA






Habari za kazi wadau wangu,



Naomba mnisaidie kuwajulisha wasomaji wenu wenye kuhitaji eneo kubwa na zuri kwa ajili ya biashara ya chakula na vinywaji inapangishwa maeneo ya Sinza mori opposite na Pub mpya ya Olympia Pub,pembeni ya Supermarket ya Ufishi.eneo lake ni kubwa na ina viti na meza nzuri za chuma na mbao na eneo kubwa la kupaki magari mbele,kama picha zinavyoonekana hapo chini eneo hili limetengenezwa vizuri na kisasa kwa kutumia mbao na lipo mahali pazuri kibiashara.
Kwa wanaohitaji tafadhali wawasiliane na mimi kwa namba hii 0715 000890 muda wowote.Bei ya kukodisha kwa mwezi ni milioni 1.8 but maongezi kidogo yatakuwepo kwa anayehitaji.

Nawatakia kila la kheri kwenye shughuli zenu za kila siku.
Mdau mwenzenu,
Mac Temba Jr - 0715 000 890

Comments