NEY WA MITEGO NA UKWELI WA MOYO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Elibariki Munisi, maarufu kama ‘Ney wa Mitego’ anatarajia kuutengenezea video wimbo wake uitwao ‘Ukweli wa Moyo’ ambao amewashirikisha Matonya na Shebby Love.

Comments