MISS TANZANIA MWAKA 2000, JACQUILINE NTUYABALIWE AMZIKA BABA YAKE

Miss Tanzania 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe,  akiweka shada la maua kwenya kaburi la baba yake marehemu Dk. Willbrod Ntuyabaliwe  aliyezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Comments

  1. OOH DADA JACK POLE SANA KWA KUFIWA NA BABA NI KUZIDI KUMUOMBEA KWA MOLA NAJUA INAUMA SANA LAKINI HATUNA BUDI NDIO NJA YETU SOTE ILA TWAPISHANA KWA NAFASI TOFAUTI NA NI MAPENZI YA MUNGU KUWA BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA NA LIHIMIDIWE-Mdau richie wa ughaibuni

    ReplyDelete

Post a Comment