MALINZI AKUNJUA MAKUCHA

Mwenyekiti wa Muungano wa Golf Tanzania (TGU), Dioniz Malinzi, akizungumza na waandishi habari jijini jana. Malinzi amejiuzulu wadhifa huo baada ya kuteuliwa kuwa mwenyekiti mpya wa baraza la michezo Tanzania(BMT). Wengine katikati ni makamu wake ambaye sasa atashika wadhifa wa Mwenyekiti wa TGU, Paul na kushoto ni mjumbe wa BMT, Maulid Kitenge.


MWENYEKITI mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dionis Malinzi, amesema viongozi wanaotaka kuongoza kwa ajili ya maslahi yao  ndio chanzo cha Tanzania kufanya vibaya katika michezo ya kimataifa hawana nafasi na atawashughulikia.


Comments