LINEX AMKAMATA MAD ICE

MKALI wa bongo fleva, Linex ameingia studio kurekodi singo yake mpya ambayo itakuwemo kwenye albamu yake ya tatu.
Linex amesema ndani ya singo hiyo amemshirikisha Mad Ice huku kazi ya kurekodi singo hiyo ikifanyika kwenye studio za Rocca chini ya mtayarishaji Mona Gansta.
Tayari mwimbaji huyo ameshaachia singo mbili zitakazokuwemo kwenye albamu yake hiyo ya pili, 'Moyo wa Subira' na 'Ngekewa.

Comments