KUNDI LA MUTATI LATUA BONGO TAYARI KUNOGESHA SHEAR CHARITY BALL


Wasanii wa kundi la Mutati wakiwa katika picha ya pamoja na Head of Marketing and Corporate Affairs Dorah Raymond (wa pili kushoto), mara baada ya kuwasili nchini jana.
Kundi hilo linatarajiwa kutumbuiza kwenye hafla ya kuchangia upasuaji wa wanawake wenye tatizo la fistula katika hospitali ya CCBRT, pamoja na kuboresha miundombinu ya maji katika hospitali ya Aman, hafla itafanyika kesho kwenye hoteli ya Movenpick.

Comments