KENYA YACHINJA 2-1 NYUMBANI

Mshambuliaji wa Kenya, Denis Oliech (kulia) akimtoka beki wa Guinea-Bisau, Bruno Fernandes (kulia) jana katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwenye Uwanja wa Nyayo, Nairobi. Kenya ilishinda 2-1 na kufikisha pointi saba kwenye Kundi J, linalowahusisha vinara Uganda ambao leo wanamenyana na Angola.

Comments