JULIO AITA 24 KUUNDA U-17



KOCHA msaidizi wa timua ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Jamhuri Kihwelo, ameita wachezaji 24 ambao wataingia kambini jumapili kujiandaa na mashindano mbalimbali ya kimataifa.
Wachezaji hao ni pamoja na Paulo John(Morogoro)Hamad Hamad(kinondoni)Mohamed H. Mohamed(kinondoni)Peter Manyika(Temeke)Ismail Gambo(Kigoma)Miraji Adam (Morogoro)Basil Seif(Morogoro)Huseni Twaha (Tanga)James Ambros (Morogoro)Aishi Salum (Morogoro)Hashim Mwalo (kigoma)Mohamed Salum (Zanzibar)Mohamed Kapeta (Dar es laam)Mbwana Hasani (kinondoni)Salvatory Rafael (kigoma)Paulo James (Shinyanga)Huseni Ibrahim (Morogoro)Gabson Nyamtema(kigoma)Mohamed kapeta(temeke)Joseph Kimwaga (kinondoni).

Comments