JK AMKUMBUKA JOEL BENDERA

RAIS wa JAmhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametangaxa wakuu wapya wa mikoa ambapo ndani yake amemteua kocha na mwanamichezo ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni an Michezo katika awamu ya tatu, Joel Nkaya Bendera.
Bendera ambaye alikuwa Mbunge wa Lushoto kabla ya kuangushwa katika uchaguzi wa mwaka jana, ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro.

Comments