JERRY TEGETE ARUDISHWA KUNDINI YANGA

YANGA imemrejesha kundini mshambuliaji wake Jerry Tegete ambaye alisimamishwa kwa mwezi mmoja kutokana na utovu wa nidhamu.

Comments