IRELAND, SLOVAKIA ZATOSHANA NGUVU

Mchezaji wa Jamhuri ya Ireland, Keith Andrews (kushoto) akichuana na Vladmir Weiss wa Slovakia katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainalin za Euro 2012, Kundi B dhidi ya Slovakia kwenye Uwanja wa Aviva mjini Dublin, Ireland usiku huu. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

Comments