GUNDU LAENDELEA KUIGUBIKA YANGA SC

GUNDU limeendelea kutawala katika klabu ya Yanga baada ya leo kulazimishga sare ya bao 1-1 na maafande wa Ruvu Shooting.
Matokeo hayo yanaendelea kuishikisha mkia wa ligi kuu bara mabingwa hao wa tetezi ambao kwa sasa wamefikisha pointi tatu.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 11, 2011 at 5:06 PM

    DU!MWANANGU HII YA MWAKA HUU KALI!KULIKONI TIMU AMBAYO MWEZI MMOJA TU ULIOPITA ILIITINGISHA AFRICA MASHARIKI NA KATI LEO INASHINDWA KUPATA USHINDI KATIKA LIGI DHAIFU KAMA VPL?!!!

    KIUKWELI LEO NIMENYONG'ONYEA KABISA,ILA OLE WAKE ANAEIHUJUMU YANGA KWA KUDHANI ANAMUHUJUMU NCHUNGA...ANAEUMIA SI NCHUNGA PEKE YAKE BALI MAMILIONI YA WANACHAMA NA WAPENZI WA YANGA TULIOTAPAKAA DUNIA MUZIMA.

    YANGA BOMBA-GRAND RAPIDS,USA

    ReplyDelete

Post a Comment