ENGLAND YAUA 3-0 ULAYA

Kiungo wa England, Adam Johnson (katikati akichuana na Zhivko Milanov na Georgi Sarmov (kulia) wa Bulgaria katika mechi ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Euro 2012 usiku huu kwenye Uwanja wa Vassil Levski mjini Sofia, England ilishinda 3-0.

Comments