DAN FLEVOR (UG) & LINEX (TZ) - KANKUTUME (KAMWAMBIE)

                                                                        DAN FLEVOR

                                                    LINEX
Hi,

Hii ni kazi mpya ya msanii kutoka Uganda anaitwa DAN FLEVOR ambae kwa sasa ameamua kuja Tanzania kwa lengo la kutengeneza fan base ya hapa TZ, pia anahitaji kujifunza kiswahili zaidi na kufanya kazi na wasanii wa TZ.
Kati ya wasanii ambao Dan Flevor ana mipango ya kufanya nao kazi ni pamoja na Lady Jaydee na Linex.
Wimbo huu ni hatua za mwanzo za kutimiza ndoto zake. wimbo umefanywa katika studio ya Tetemesha Recordz ya Mwanza chini ya producer Kid bwoy.
Dan Flevor kwa upande wa Tz anasimamiwa kazi zake na Ujazo Entertainment.

Comments