BOBAN ATIMULIWA NA MBWA KIRUMBA

WAKATI  mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara baina ya Simba na Toto African ya Mwanza  ukiendelea kwenye dimba la CCM Kirumba,Mwanza  mbwa wa Polisi alimponyoka Askari na kuingia uwanjani ambapo alianza kuwatimua wachezaji.
Hata hivyo, mbwa huyo alikuwa akimzonga zaidi kiungo mshambuliaji wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ na hivyo kusababisha mpira kusimama kwa muda.
Haikujulikana sababu ya Mbwa huyo kumchomoka Askari na kukimbilia uwanjani na jambo la kujiuliza ni kwanini alikuwa akimzonga zaidi Boban?.

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHSeptember 21, 2011 at 9:49 PM

    WE NAWE UNAISHI NCHI GANI?MIMI NIKO HUKU MBALI NA BONGO NAYAJUA MAMBO YA HARUNA,MBWA WANAJUA KU SENSE YALE MAJANI

    MDAU WA BOMBA LA UHURU NA KATI YA MICHIGAN USA

    ReplyDelete
  2. NI KWERI YAWEZEKANA BOBAN KABLA YA MECHI ALIUKOKA MCHE WA BANGI KWA KUWA WALE MBWA WANAUWEZO WA KUTAMBUA MVUTA BANGI AMBAYE ALIVUTA ZAIDI YA MASAA 6 YALIYOPITA KWA HIYO HUYO NDUGU YETU AACHANE NA HAYO MABANGI YAKE YATAJA MLETEA MATATIZO KTK MPIRA WAKE NA MAISHANI MWAKE PIA ATAJA JIKUTA YUKO CHIZI WATABAKI OH KALOGWA SIJUI NINI NA NINI - MDAU WA UGHAIBUNI

    ReplyDelete

Post a Comment