AZAM YAIACHIA PUMZI SIMBA

SARE ya bila ya kufungana iliyoipata Azam leo dhidi ya Ruvu Shooting, imezidi kuifanya Simba ijinafasi katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ambayo inaongoza kwa tofauti ya pointi tatu.

Simba ambayo jana iliifunga Mtibwa Sugar bao 1-0 inaongoza ligi hiyo ikiwa na pointi 18, huku sare ya jana inaibakisha Azam katika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 15.

Comments