ZICO ATUA KUISUKA IRAQ KWA KOMBE LA DUNIA 2014

Gwiji wa soka Brazil,  Zico, akionyesha alama ya dole huku akiendesha gari alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Arbil kaskazini mwa Iraq mapema leo. Zico mwenye umri wa miaka 58 yuko mbioni kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Iraq, akisaini mkataba ambao utamfanya adumu hadi kwenye fainali za Kombe la dunia mwaka 2014 ambazo nchi hiyo itakuwa mwenyeji.




Comments