WIKI MBILI, FABREGAS AINUA NDOO MBILI BARCA

Nahodha wa zamani wa Arsenal, Cesc Fabregas akishangilia taji la pili tangu ajiunge na Barcelona wiki mbili zilizopita baada ya kuifunga FC Porto mabao 2-0 na kutwaa 'baba wa mataji Ulaya' UEFA Super Cup kwenye Uwanja wa Louis II, juzi usiku. Fab aliofunga bao la pili baada ya Messi kufunga la kwanza. Awali Fab aliiongoza Barca kutwaa Kombe la Mfalme kwa kuifunga Real Madrid wiki iliyopita.



Comments