WAREMBO 30 WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA NA SHINDANO LA MISS TANZANIA

WAREMBO 30 toka kanda tofauti nchini wakigonganisha glass na Miss tanzania anayemaliza muda wake Geneviev Mpangala(mwwnye miwani) mara baada ya kuingia kambini leo kwenye hoteli ya Giraffe kujianda na shindano la Miss Tanzania linalotarajiwa kufanyika Septyemba 10mwajka huu.

Comments