UONGOZI YANGA KUMJADILI MTUKUTU KIIZA


KIIZA AKIMTOKA CHOLLO KATIKA FAINALI YA KAGAME

MSHAMBULIAJI Mganda wa Yanga, Kiiza Hamisi jana aliitoroka klabu yake na kiurejea kwao Uganda, akidai mkewe anaumwa na uongozi wa klabu hiyo haumjali.
Kitendo hicho kimeukera uongozi wa klabu na leo Kamati ya Utendaji ya Yanga inakutana kujadili tabia kiburi na utovu wa nidhamu iliyojitokeza kwa mchezaji huyo aliyesaini msimu huu kutoka URA ya Uganda.

Comments