UKIONA KASHIKA TAMA, UJUE KADUNDWA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa ameshika tama baada ya timu yake kufungwa na Liverpool kwenye Uwanja wa nyumbani, Emirates leo mabao 2-0. Poleni The Gannaz.

Comments