UFARANSA NAKO KUNA MAMBOO!

Beki Mfaransa wa Nancy, Massadio Haidara (kushoto) akigombea mpira na kiungo Mfaransa wa Lorient, Mathias Autret (kulia) katika mechi ya Ligi Kuu Ufaransa, L1 leo hii kwenye Uwanja wa Route de Lorient mjini Lorient, Magharibi mwa Ufaransa.

Comments