TOTO AFRICAN YANG'ANG'ANIA KILELENI LIGI KUU BARA

SARE ya bao 1-1 iliyoipata leo Toto African ya Mwanza dhidi ya African Lyon imeendelea kuikalisha kileleni katika ligi kuu soka tanzania Bara.
Mechi hiyo iliyopigwa kwenye dimba la Chamazi imeifanya Toto kufikisha pointi 7, ikifuatiwa na Simba yenye poiti 6.

Comments