TORRES AUANZA MSIMU VIBAYA


Fernando Torres anaweza kuikosa mechi ya ufunguzi ya Ligi Kuu ya England ka5ti ya klabu yake,  Chelsea dhidi ya Stoke Jumapili baada ya kuumia kichwani akiichezea timu yake ya taifa katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Italia. H

Comments