TIMU ZA TANZANIA KWENDA MSUMBIJI J'5

TIMU kutoka Tanzania zitakazoshiriki michuano ya All Africa Game zinatarajiwa kuondoka Jumatano  kwenda Maputo, Msumbiji ambapo michuano ya mwaka huu itapigwa.
Mkurugenzi wa Idara ya maendelezo ya michezio Tanzania, Leonard Thadeo alisema taratibu za safari zimekamilika huku viongozi wa serikali watakaokwenda huko wakitarajiwa kujulikana jumatatu.

Comments