TAJI LINGINE HILO BARCA

Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi kutoka Argentina akishangilia taji la Joan Gamper dhidi ya Napoli kwenye Uwanja wa Camp Nou, Barcelona, Hispania jana.




Comments