SIMBA,YANGA ZAFUNGA NDOA NA TBL

Makamu mwenyekiti wa Simba Geoffrey Nyange (kushoto) na Mwenyekiti wa Yanga Lloyd Nchunga (kushoto) wakionyesha hati za mkataba mpya na TBL.Wa pili kulia ni Meneja Masoko wa TBL David Minja na Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah.
Klabu za simba na yanga leo zimeingia mkataba wa udhamini wa miaka 5 na kampuni ya bia tanzania(tbl),ambapo mkataba huo unathamani ya shilingi bilioni 5.

Comments