SIMBA MKWAKWANI, YANGA JAMHURI

VIGOGO vya soka nchini timu za Simba baada ya kuhaha kusaka viwanja ambavyo itavitumia katika msimu mpya wa ligi kuu bara unaotarajiwa kuanza kesho katika viwanja tofauti hatimaye vimepata jibu.
Simba Uwanaj wa nyumbani utakuwa Mkwakwani mjini Tanga na Yanga Jamhuri mjini Morogoro. Hatua hiyo inafuatia serikali kuufunga kwa ajili ya matengenezo uwanja wa Taifa ambao ilikuwa ziutumie katika mechi zake hizo.

Comments