Sabine Lisicki aingia fainali Texas Open

Sabine Lisicki wa Ujerumani, akishangilia ushindi wake dhidi ya Irina-Camelia Begu katika Nusu Fainali ya michuano ya Texas Open mjini Grapevine, Texas, jana. Lisicki anavaana na Mfaransa Aravane Rezai katika fainali leo.




Comments