UWOYA
JACQUILINE WOLPER
IZZO B
Filamu hiyo inayobashiriwa kuwa bomba pondi itakapotinga kitaa ndani yake itakuwa na wadada wakali na wanaotikisa katika anga la filamu nchini Irene Uwoya na Jacline Wolper.STAY TUNED
JACQUILINE WOLPER
IZZO B
ROCKA
WASANII wanaofanya vema kwenye game la bongo fleva, Izzo B na Quick Rocka nao wamegeukia katika masuala ya uiguizaji wa filamu na sasa wanakuja na filanu yao kali itakayohwenda kwa jina la Time After Times.Filamu hiyo inayobashiriwa kuwa bomba pondi itakapotinga kitaa ndani yake itakuwa na wadada wakali na wanaotikisa katika anga la filamu nchini Irene Uwoya na Jacline Wolper.STAY TUNED
Comments
Post a Comment