Povetkin amdunga Chagaev kwa pointi.

Ruslan Chagaev (kushoto) wa Uzbekistan akibadilishana makonde na Alexander Povetkin wa Urusi katika pambalo lao la kuwania ubingwa wa WBA uzito wa juu kwenye ukumbi wa Messe Erfurtmjini Erfurt, Ujerumani. Povetkin alishinda kwa majaji wote wwatatu, akipata pointi 116-112, 117-113 na 117-113.




Comments