NEMBO MPYA YA VODACOM YAIKIMBIZA YANGA

YANGAZ inadaiwa kugomea jezi mpya walizopatiwa na wadhamini wa ligi kuu soka Tanzania Bara, kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, imefahamika.
Yanga imefikia hatua hiyo kufuatia jezi hizo kubandikwa nembo ya wadhamini ambayo ina rangi nyekundu, kitu ambacho wanaona ni sawa na kuvaa rangi ya mahasimu wao Yanga.
Tukio jhilo lilitokea juzi katika hafla ya kugawa vifaa kwa timu hizo ambapo ilipofika zamu ya Yanga hakuna kiongozi wala mwakilishi yoyote aliyeinuka kwenda kupiga picha ya kumbukumbuku zaidi ya vijana walioandaliwa kutambulisha jezi za timu zote.

Comments