MWAPE YUKO POA KIDOGO

Davies Mwape wa Yanga amesema kwamba kwa sasa hali yake inaendelea vizuri na kunauwezekano mkubwa akacheza mechi ya kuwania Ngao ya Jamii dhidi ya Simba hapo Agosti 17 mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam. Mwape ameachwa katika msafara wa timu yake iliyokwenda kwenye ziara Sudan, baada ya kusumbuliwa na nyama za paja.

Comments