MUTEBI SIMONI NA MARRYGORETH KAVISHE WALIPOMEREMETA

 Mutebi Simon na mkewake Marrygoreth Kavishe wakifungua muziki wakati wa harusi yao iliyofungwa katika kanisa la Mtakatifu Mwenyeheri Anwarite la Makuburi na kufuatiwa sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Landmark jijini Dar es Salaam,

 
Baba mzazi wa Simon Mutebi akijiandaa kumkabidhi vazi la kimila la Wahaya aina ya Kanzu baada ya ukabidhiwa mkuki.





Bibi harusi Marrygoreth Kavishe akiwa na wapambe wake salon kabla ya kwenda kanisa kushiriki ibaada ya ndoa yake iliyofanyika katika kanisa la Romani Katoliki la Mtakatifu Mwenyeheri Anwarite la Makuburi Dar es Salaam.

Comments

  1. Mmependeza madogo zangu,hii ni kumbukumbu nzuri kwa familia na vizazi vyenu vijavyo.Huu ni mwanzo mzuri wa maisha yenu mapya,mwanzo unaoelekeza malengo mazuri muliojiwekea huko mbeleni!

    Mie nawapongeza mno kwa kufanya hivyo na mwenyezi mungu awajalie afya njema maana ndiyo muhimu kupita yote.

    Big up sana!
    SILIAKUS.

    ReplyDelete

Post a Comment