MMMMMWAAAAAA!

Caroline Wozniacki wa Denmark akishangilia na mashabiki baada ya kumfunga Petra Cetkovska wa Jamhuri ya Czech katika fainali ya michuano ya New Haven Open kwenye ukumbi wa Connecticut Tennis Center, Yale jana.


Comments