MECHI YA SIMBA, COASTAL UNION YAVUNJA REKODI YA MAPATO

MECHI ya ligi kuu soka Tanzania bara baina ya Coastal Union ya Tanga na Simba Sc iliyopigwa juzi kwenye dimba la Mkwakawni Tanga imevynja mapato baada ya kuingia shilingi mil.33.0.
Mapato hayo yametokana na mashabiki 20,000 walioingia uwanjani huku kila timu ikiambulia shilinhi mil.7.5.
Mechi hiyo imevunja mapatp ya ile ya awali kwenye ligi hiyo iliyowakutanisha Coastal na Mtibwa Sugar ambapo zilipatikana shilingi mil.8.4.

Comments