MARADONA ASAINI WATATU WAPYA CHAMA LAKE JIPYA

Mohammed Bin Fahad, Mwenyekiti wa klabu ya Al-Wasl ya Falme za Kiarabu (UAE) wa pili kushoto akiwa amepozi na wachezaji watatu wa0pya wa kigeni wa timu yake, Muargentina Mariano Donda (kushoto), Mchile Edson Puch (katikati) na Mrurugua Manuel Olivera, katika mkutano maalum wa kuwatambulisha nyota hao jana, Dubai. Gwiji wa soka Argentina, Diego Maradona ndiye kocha wa timu hiyo.




Comments