MAN UNITED YAUA 3-0

Mchezaji wa Manchester United, Anderson akishangilia kufunga bao la pili dhidi ya Tottenham Hotspur huku akiwa amedandiwa mebegani na Wayne Rooney katika mechi ya Ligi Kuu ya England jan a usikukwenye Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 3-0.

Comments