LYON YACHINJA UFARANSA

Mshambuliaji wa Lyon, Muargentina Lisandro Lopez, juu akishangilia na wachezaji wenzake baada ya Jeremy Pied, nyuma kufunga bao la ushindi dhidi ya  Montpellier, katika Ligi Kuu ya Ufaransa leo kwenye Uwanja wa Gerland mjini Lyon, Ufaransa. Lyon ilishinda 2-1.

Comments