JIONEENI MWENYEWE ADHA HII JAMANI

VituVituo vichache vinavyouza mafuta vimekuwa na msongomano mkubwa wa foleni za jamaa na vidumu vyao.

Comments

  1. Duuh, mambo yanaanza hivi hivi...tumetoka kwenye `umeme'...foleni yake haistahili kusimama kama hivyo, ila mnakaa tu gizani mkisubiri, ukiwaka kidogo, unasikia `aaaaah' utafikiri goli limeingia mara umezima, inabakia `jiiiiiiiiiii'
    Sasa mafuta, kitafuta nini tena sijui, mungu atuepushilie mbali...!

    ReplyDelete

Post a Comment