IDD AZAN KUBARIKI UZINDUZI WA MASHAUZI CLASSIC

MBUNGE wa KInondoni Iddi Azzan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika onyesho la uzinduzi wa bendi mpya ya muziki wa taarab ya Mashauzi Classic, uzinduzi utakaofanyika siku ya Iddi Mosi katika hoteli ya Travetine.
Bendi hiyo inayotarajiwa kutikisa katika medani ya muziki huo inamilikiwa na mkali wa mindoko hiyo Isha Ramadhan 'Mamaa Mashauzi', ambapo mbali na uzinduzi wa kundi hilo, pia watazindua albamu yao inayokwenda kwa jina la 'Nani Kama Mama'.

Comments