Griezmann shujaa mphya Ufaransa

Mchezaji wa Ufaransa, Antoine Griezmann akimiliki mpira katika mechi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, hatua ya 16 bora dhidi ya Ecuador kwenye Uwanja wa Jaime Moron mjini Cartagena, Colombia, jana. Ufaranda ilishinda  1-0  kwa bao pekee la Griezmann na kutinga Robo Fainali.



Comments