SIMBA YAIUNGURUMIA YANGA TAIFA NA KUTWAA NGAO YA JAMII

Wekundu wa msimbazi,simba sc wametwaa ngao ya jamii baada ya kuwararua mahasimu wao yanga mabao 2-0.Mechi hiyo iliyopigwa kwenye uwanja wa taifa ilionekana dhahiri tangu mwanzo kuwa simba ingeshnda kwani ilitandaza kandanda safi.mshambuliaji mzambia Felix Sunzu ndiye aliifungia Simba bao la kwanza kabla ya Haruna Moshi kuandika la pili.

Comments