EVANDER NA BINGWA MPYA WA DUNIA

Alexander Povetkin (kulia) wa Urusi akishangilia pembeni ya bingwa wa zamani wa dunia uzito wa juu Evander Holyfield (kushoto) baada ya kutwaa taji la WBA uzito wa juu akimpiga Ruslan Chagaev wa Uzbekistan kwenye ukumbi wa Messe Erfurt mjini Erfurt, Ujerumani jana.



Comments