DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO INGIA SOKONI

Salam alyku muheshimiwa ukiwa kama mdau na mpenda michezo mimi kocha wa mchezo wa ngumi wa timu ya Ashanti pamoja na timu ya mkoa wa Ilala kimichezo Rajabu Mhamila 'SUPER D BOXING COACH ' naomba sana uniwekee banner kwenye mtandao wako kwa ajili watu wajue DVD za mchezo wa ngumi zinapatikana wapi plz natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwako asante.

DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838

--
Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
http://www.burudan.blogspot.com/
Mob;+255787 406930
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

Comments